joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Legacy yako na Raja hazilingani, Mwakarobo.Una cancer ya akili, Raja hiyo nusu fainali alicheza na timu gani msimu uliopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Legacy yako na Raja hazilingani, Mwakarobo.Una cancer ya akili, Raja hiyo nusu fainali alicheza na timu gani msimu uliopita
Ongezea Mamelod, ES,Al Ahly, Wydad. Wale ndio wanaume wa 22/23,ww kipindi hiko wakina Chama wakicheza mdako Msimbazi.Ila ya kwako na Marumo zinalingana
Nomination ya tatu kutoka Yanga.Nilitaka nishangae bila kumtaja chama
Kiboko yangu nani?Mbona hushangai USM Algers kawa Bingwa wa Super Cup kwa kumfunga kiboko yako but ligi ya mabingwa hayupo msimu huu?
Mashindano aliyoshiliki Al Ahly....na mengine yote AfrikaRobo ya mashindano gani
Huko kucheza mara Milioni na kutolewa na Al Ahly kumeweza kumfikisa ktkt Tuzo Bora kwa timu Bora!!?Simba amecheza mara ngapi na al ahly knockout stage, au unajitoa ufahamu tu
Watu wana maneno balaa
NIMEONA MKUUWatu wana maneno balaa
Kafika nusu fainali cafKwahiyo Marumo ana mafanikio gani ya uwanjani ?
MarumoHapo ndo utaona timu ipi bora
Marumo kacheza Nusu Fainali wewe Timu yako imefika hiyo hatua...!?Marumo