CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Unaambiwa timu kubwa .....mambo makubwa hivi ndivyo mambo yanaendelea kutokea Kwa timu kubwa Africa

Wakati makolo wakifurahia kufa kiume......wananchi ( kiboko ya waarabu) waenda kutwaa medali ya timu Bora Africa

NB: ukibisha naleta picha za tuzo za Abiola ndondo cup
1698834565706.jpg
 
Vipi mayele anatoboa hapo ?
FB_IMG_16988351562093038.jpg
 
Utopolo zindukeni hizi ni mbinu chafu za Babra hapo Caf ili kuwatoa mchezoni mbweteke jumapili mpigwe kipigo cha mbwa koko
 
Nimechoka hapo kwa Malumo na Asec.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hushangai USM Algers kawa Bingwa wa Super Cup kwa kumfunga kiboko yako but ligi ya mabingwa hayupo msimu huu?
Kiboko yangu nani?

Alinifunga wapi?

Hata sisi tungepata penati tungempiga
 
Back
Top Bottom