CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Ni level mbili tofauti, hiyo level unayo iona ni washindani ambao wabiganaji, level yenu nyinyi ni washiriki Mwakarobo FC.
Wapiganaji wa kombe la mbuzi aka luza baada ya kutolewa kwenye mashindano ya wanaume hatua ya awali Cafcl
 
Wapiganaji wa kombe la mbuzi aka luza baada ya kutolewa kwenye mashindano ya wanaume hatua ya awali Cafcl
Sasa wenye kombe lao CAF,ndio wamewaona nakuwaweka kwenye kupengele kimoja na Al Ahly, Mamelod,ESP na Wydad,yaani hapo ni sawa na kusema hao ndio wanaume wa 22/23.
 
"Hoooo tupo na wakubwa wenzetu huku........"

Haya wakubwa wenzenu tupo nao kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za CAF.Nyie mnaojiita wakubwa mpo wapi hatuwaoni hapo.
Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.
Huwezi kumuona Simba hapo kufanywa kenge.Kenge ni kina Marumo na wengine mnaojijua.
Msijione mamba wadogo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hizo mbili zilizoongezwa ambazo hazikufika nusu sio viti maalum?
 
Hao CAF nahisi wanavuta bangi hivi inakuwaje unamshindanisha moroko na tz?
 
Kwahiyo sisi Simba hatupo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Caf wanapenda engagement ya watanzania mtandaoni Kila tukio lao lazima watafute namna ya kuitupia tz ndani hii ni nzuri kwa kuitangaza nchi yetu na kukuza utalii na pia ni nzuri kuitangaza Caf duniani
 
Ihefu wamesoma hili bandiko wamecheka 😁😁😁😁

Timu inagombea club bora kwa kucheza europa hivi kweli na wewe umekuja kupost huoni aibuπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜

Yanga bwana
Haya ilanfya anawasalimu
πŸ‘πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…