CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Ihefu wamesoma hili bandiko wamecheka 😁😁😁😁

Timu inagombea club bora kwa kucheza europa hivi kweli na wewe umekuja kupost huoni aibuπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜

Yanga bwana
Haya ilanfya anawasalimu
πŸ‘πŸ½
Kwa tuliosoma saikolojia ya binadamu tumekuelewa,Unajichesha na emoj uku moyo wako una maumivu makali
 
Ihefu wamesoma hili bandiko wamecheka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Timu inagombea club bora kwa kucheza europa hivi kweli na wewe umekuja kupost huoni aibu[emoji23][emoji16][emoji16]

Yanga bwana
Haya ilanfya anawasalimu
[emoji1417]
Yanga ni hatari mkuu
 
Hapa umenionea b… Mbona nimeuliza kwa upole kabisa?
Au wewe jibu unalo b…?
Lol! B... ni kwa sababu nimeona kama hujaungana naye kwenye muktadha wa maoni yake, wewe umeleta mpya kwa sauti ya ukali sana.

Ova
 
Lol! B... ni kwa sababu nimeona kama hujaungana naye kwenye muktadha wa maoni yake, wewe umeleta mpya kwa sauti ya ukali sana.

Ova
B… naona unanitoa relini, swali mliocheza UEFA aka CAFCL si ndio huwa mnaringa sana? Mbona hampo kwenye list ya kuwania timu bora?

Tena wewe ndio nataka ujibu maana unatamba sana na hiyo CAFCL…
Shukuruni AFL ilipangwa mapema kabla hatujacheza fainali, msingegusa kule.
 
Lol! Sikujibu saa hizi, hadi uamke kwanza ili jibu likujie bila uchovu wa usingizi. Kwa hiyo lala tu kwanza ukiamka ndiyo nakujibu.

Ova
 
Lol! Sikujibu saa hizi, hadi uamke kwanza ili jibu likujie bila uchovu wa usingizi. Kwa hiyo lala tu kwanza ukiamka ndiyo nakujibu.

Ova
Jibu gani la kunizungusha hivi kama naomba uchumba?
Acha sound zako wewe, hamna pa kutokea safari hii acha siasa b…
 
Kabisa mkuu... makolo walivalishwa shanga ...... kwenye Abiola cup
kwenye abiola ndondo cup mashabiki wa makolo hawajisifii kupata medali sababu halikuwa lengo lao ila WANACHURA CHURANI WANAJISIFIA KUVALISHWA SHANGA KWENYE KOMBE LA LOOSER.
 
Hahahahaha
 
Ndio tumo wewe kama haumo ni swala lako endelea kuishia robo kwani hata ukipewa nafasi unaota moto katikati ya uwanja.
Nyie hata hiyo robo hamtaipata msimu huu
 
Mambo mengine CAF wajifikirie aisee sasa unamuwekaje Malumo na Mamelod sehemu moja wagombanie tuzo? Nazani umenielewa
Marumo na huyo shoga yake hapo wamewekwa kutimiza tu idadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…