CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Mamelodi kafika nusu fainali ya nini na Marumo kafika nusu ya michuano ipi? Halafu kwenye ligi yao Mamelodi kamaliza wqngapi na Marumo kamaliza wangapi?
Hao ndo utopolo mkuu
 
Al-ahal, Mamenlody nao pia wapo mkuu, inakosekana ile timu ya kufa kiume tu, sijui kwa nini?
Al ahly na Mamelodi ndo walengwa wakuu wa hizo tuzo, nyie wengine wamewaweka ili kutimiza tu idadi
 
Hiyo ni kejeli ya mwaka kwa Yanga!! Kufika fainali na kukosa taji kwenye kombe la losers hakuwezi kukufanya ukawa timu bora ya mwaka ya CAF!! Mtu akikupa sifa usiyostahili ni kejeli hiyo!! Ni mtu wa kutoka sayari nyingine tu ndiye anayeweza kuipa yanga nafasi kwenye kinyang'anyiro hiki!!
 
Yanga kuingizwa kwenye ushindanishi huo ni sawa na kumweka mmachinga fulani kwenye ushindanishi wa mfanyabiashara bora wa mwaka halafu ukamshindanisha na akina Bakresa, Mo, nk!!
 
Japo watakupinga ila umemaliza kila kitu
 
mwakarobo yu wapi wajameni!!!
 
Mamelodi kafika nusu fainali ya nini na Marumo kafika nusu ya michuano ipi? Halafu kwenye ligi yao Mamelodi kamaliza wqngapi na Marumo kamaliza wangapi?
Kumaliza ligi nafasi fulani haiwahusu CAF, CAF wao huuwa wana deal na mashindano yao pekee na ndio maana Marumo pamoja na kushuka daraja kwo lakini CAF hawakuwanyima point zao 15 walizoingiza ndani ya msimu mmoja.

Point zao 15 zimewafanya Marumo wawe juu ya mabingwa wa Morocco (Far Rabat)
 
Ina kuuma? vaa uende
 
Makolokwinyo mpaka mseme! Na Bado!

Yanga haichezi mpira mdomoni na redioni inacheza uwanjani!

Wachezaji wa Yanga tunaomba j2 tufungieni midomo kolowizard wote mbumbumbu kufa kiume fc, uwezo mnao maana kama CAF wenyewe wameukubali mziki wenu Simba ni nani wakukataa kukandwa na kukalishwa chini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…