Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marumo na yanga ni makubwa jingaSio unasikia ndivyo ilivyo, wakubwa tupu hapaView attachment 2801129
Japo watakupinga ila umemaliza kila kituHiyo ni kejeli ya mwaka kwa Yanga!! Kufika fainali na kukosa taji kwenye kombe la losers hakuwezi kukufanya ukawa timu bora ya mwaka ya CAF!! Mtu akikupa sifa usiyostahili ni kejeli hiyo!! Ni mtu wa kutoka sayari nyingine tu ndiye anayeweza kuipa yanga nafasi kwenye kinyang'anyiro hiki!!
Ndio utumie dawa tatu kukata hayo maumivuUkweli unauma
mwakarobo yu wapi wajameni!!!Your nominees for Club of the Year (MEN) award are here!
#CAFAwards2023
============
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza Timu za Taifa, Vilabu na Wachezaji wanaowania tuzo hizo mwaka 2023 ambapo Taifa Stars ya Tanzania itachuana na Timu za Taifa za Cape Verde, Gambia, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia na Senegal.
Kwa upande wa Vilabu, Mabingwa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga Africans inashindana na CR Belouizdad, USM Alger, ASEC Mimosas, AL Ahly FC, Raja CA, Wyadad AC, Mamelodi Sundowns, Marumo Gallants, na ES Tunis.
Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Desemba 11, 2023 Nchini Morocco, zimeiacha nje ya kinyang'anyiro Klabu ya Simba kutoka Tanzania.
Kumaliza ligi nafasi fulani haiwahusu CAF, CAF wao huuwa wana deal na mashindano yao pekee na ndio maana Marumo pamoja na kushuka daraja kwo lakini CAF hawakuwanyima point zao 15 walizoingiza ndani ya msimu mmoja.Mamelodi kafika nusu fainali ya nini na Marumo kafika nusu ya michuano ipi? Halafu kwenye ligi yao Mamelodi kamaliza wqngapi na Marumo kamaliza wangapi?
Ina kuuma? vaa uendeHiyo ni kejeli ya mwaka kwa Yanga!! Kufika fainali na kukosa taji kwenye kombe la losers hakuwezi kukufanya ukawa timu bora ya mwaka ya CAF!! Mtu akikupa sifa usiyostahili ni kejeli hiyo!! Ni mtu wa kutoka sayari nyingine tu ndiye anayeweza kuipa yanga nafasi kwenye kinyang'anyiro hiki!!
Ni kweli umeumia, maelezo yako yanaonyesha jinsi ulivyo na maumivu makaliUkweli unauma
Chama kubwaAka Utopolo