CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

CAF AWARDS 2023: Taifa Stars kuwania Tuzo ya Timu Bora ya Taifa, Yanga Klabu Bora ya Mwaka

Mambo mengine CAF wajifikirie aisee sasa unamuwekaje Malumo na Mamelod sehemu moja wagombanie tuzo? Nazani umenielewa
Marumo na huyo shoga yake hapo wamewekwa kutimiza tu idadi
 
Caf wanapenda engagement ya watanzania mtandaoni Kila tukio lao lazima watafute namna ya kuitupia tz ndani hii ni nzuri kwa kuitangaza nchi yetu na kukuza utalii na pia ni nzuri kuitangaza Caf duniani
Lakini hawalambi kitu [emoji23]
 
Hongera sana Yanga kwa kuwa timu bora East Africa. Natoa salamu za pole kwa wote walioumizwa na mafanikio haya nadhani dawa tatu itawafaa kwa wakati huu.
Timu bora kutoka kila ukanda tuliziona super league, yanga ni bora east africa ya kijitonyama
 
Marumo kashafika nusu fainali, sawa na Mamelodi labda kama una sumbuliwa na wivu
Mamelodi kafika nusu fainali ya nini na Marumo kafika nusu ya michuano ipi? Halafu kwenye ligi yao Mamelodi kamaliza wqngapi na Marumo kamaliza wangapi?
 
Mamelodi kafika nusu fainali ya nini na Marumo kafika nusu ya michuano ipi? Halafu kwenye ligi yao Mamelodi kamaliza wqngapi na Marumo kamaliza wangapi?
Maswali yako waulize CAF, wewe hio michuano ya nini ulifika hatua ipi?
N:b Rage aliona mbali Kwa hio CAF wanahesabu points za ligi ya ndani?
 
Maswali yako waulize CAF, wewe hio michuano ya nini ulifika hatua ipi?
Hapo namaanisha mmewekwa kujaza nafasi kwa kuambulia vipesa kiduchu, simba akiwekwa huko lazima arudi na kitu, kumbuka sakho alirudi na nini
 
Nasikia na Marumo yupo kwenye hiyo listi[emoji1787][emoji16]
Sio unasikia ndivyo ilivyo, wakubwa tupu hapa
1698828624616.jpg
 
Back
Top Bottom