Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Salaam kwenu wananchi,
Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg.
Sasa nikimbie kwny mada fasta:
Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana.
Ni yule kiungo holding, mwenye nishati nyingi, rasta, raia wa cameroun,mwenye cv iliyoshiba.
Amechezea vilabu vifuatavyo:
Bastia, (France) Arsenal,(England)
Barcelona,
(Spain)
Westham,(England)
Rubin Kazan, (Russia)
Sion,(Swis) na sasa AS arta solar ya Djibout
Huyu bwana yupo hapo jiran Djibout.
ana mkataba wa miaka miwili.
Song ana miaka 33.
kwa exposure yake yanga ifaidika mno.
Song ni middle world class player.tumchukueni.naamini bei yake haitakuwa mbaya.
Song hapa bongo sio mgeni..aliwahi kuja mara 2 na timu yake ya taifa indomitable lion.
Song ni hardworking african veteran mashabiki wa arseli mashahidi.
Option two:
yupo pia
Nigerian genius,
Ahmed mussa.
karudi kwao nigeria.
anaichezea kano pillars.(kama hubeti hizi tim huwezi kuzijua)
umri wake ni mmoja na samatta.miaka 29.
foward huyu.si mgeni kwenu.yumo kwny squad ya super eagles.
Amechezea CSKA Moscow, Baadaye Leicester city, westbrom, baadaye akaenda irani.
Timu yake ya sasa Kano pillar ni timu ndogo na haina hela.
Yanga HAIWEZI kukosa sain yake ikiamua.