rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Aisee mashabiki wa simba mna majungu!!π€Sio lile la Yanga vs Ken Gold?! πππ
Cc ShadeeyaHivi Yanga wamehama hili jukwaa kwa muda? Kuna wadau siwaoni kabisa asee..kitu gani kimewakimbiza asee? au ni hizi record zinazovunjwa wiki baada ya wiki? au ni hivi vipolo vinavyoliwa bila kupashwa vinawapa presha? au ni ushindi wao usiopatikana bila nguvu ya penalty?
πͺπͺπͺπͺπͺ thi is SiiiiimbaaaaaHili ndilo lililochaguliwa goli bora la wiki