CAF Champion league goal of the week

CAF Champion league goal of the week

Hivi Yanga wamehama hili jukwaa kwa muda? Kuna wadau siwaoni kabisa asee..kitu gani kimewakimbiza asee? au ni hizi record zinazovunjwa wiki baada ya wiki? au ni hivi vipolo vinavyoliwa bila kupashwa vinawapa presha? au ni ushindi wao usiopatikana bila nguvu ya penalty?
 
Kitu cha ziada nilichokipenda kwenye hili goli. Ni uwezo wa Luis kutumia miguu yote miwili kwa ustadi na kujiamini.

Kwa hili goli, Natamani nimzabe kibao shabiki wa Utopolo kisha nimwambie Mo atakulipa.
 
Back
Top Bottom