Lete updates.Preliminary Fixtures
Live.
Inasikitisha sana timu ikipangiwa Yanga, jina lake linakuwa limeshafutwa kwenye michuano.Unatania
Hawa siyo wabaya lakini tunawapiga nje ndani.Vital’O wameshatoka tayari.
APR hao hapo, timu ya Kagame, mkaze matakoo ndio mtoke hapo.Azam tunamtaka pyramid
Hii mifumo kama vile haiko sawa eti.
Nafikiri hii michuano wamelenga sana biashara, kwanini hizo timu kubwa zisiwekwe tokea mwanzo?Vitimu vibovu bovu kama zalan fc...
Hapo sasa..ila kweli wanataka hela wanajua hivyo vitimu vitapigwa nje ndani..huku wao washajiokotea mapato yao...Nafikiri hii michuano wamelenga sana biashara, kwanini hizo timu kubwa zisiwekwe tokea mwanzo?
Maskini Azam FC.