CAF Champion Leagues 2024/2025

CAF Champion Leagues 2024/2025

Azam kazini kwao kuna kazi ila wana kikosi kizuri kama wakiacha "ujinga" wao wanaweza kutoboa 😂 Cc Kalpana
20240603_061710.jpg
 
Mbona azam wamemkomalia Sana Yaani akishinda akutane na Pyramid sasa si kashatoka hyo
Ili kukomesha tabia hii Azam anatakiwa kuzitowa timu zote hizo mbili na kuingia makundi kibabe.

Wanavyoikamiaga Yanga sasa wahamishie kuikamia kwao kwenye mechi hizi.

Kina Fei toto sasa huo ndio mtihani wao wa kuonesha thamani yao.

Na Yanga akimtowa Vital 0 anakutana na nani au mshindi kati ya mechi ipi?
 
Ili kukomesha tabia hii Azam anatakiwa kuzitowa timu zote hizo mbili na kuingia makundi kibabe.

Wanavyoikamiaga Yanga sasa wahamishie kuiamia kwao kwenye mechi hizi.

Kina Fei toto sasa huo ndio mtihani wao wa kuonesha thamani yao.

Na Yanga akimtowa Vital 0 anakutana na nani au mshindi kati ya mechi ipi?
Mshindi kati ya Villa Jogoo vs Commercial Bank
 
Back
Top Bottom