DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Na kama wakiweza hapa watakuwa wanaume sana na kama ikiwezekana wafike hata Robo fainaliIli kukomesha tabia hii Azam anatakiwa kuzitowa timu zote hizo mbili na kuingia makundi kibabe.
Wanavyoikamiaga Yanga sasa wahamishie kuikamia kwao kwenye mechi hizi.
Kina Fei toto sasa huo ndio mtihani wao wa kuonesha thamani yao.
Na Yanga akimtowa Vital 0 anakutana na nani au mshindi kati ya mechi ipi?