Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh washatoka 😁😂Mechi zote wanaanzia Nyumbani.
Wakicheza na APR wanaanzia nyumbani!
Wakipita hapo the same wao wataanzia Nyumbani dhidi ya Pyramid
E u wacheni utani bwana nyie kwa wachezaji gani mliosajiri 🤣🤣🤣🤣🤣Tutarudi na kombe letu!!
Mambo mengine hayahitaji muda bwana wee....success is predictable and so is failureMuda ni mwalimu mzuri!!
Panapo majaliwa mtani..Thimbaaaa naona mnafika final huku kombe la losers
Haya sie yetu macho....mkaze matako sasa sio lege legePanapo majaliwa mtani..
Msyuuuu....😗😗Haya sie yetu macho....mkaze matako sasa sio lege lege
Kama hujawahi kuleta ushindani kwenye zile top 5 hakuna anaekuona. Jirani kitendo cha kumvimbia Mamelod kimeanza kulipa. Dawa ya kuwa Mkubwa ni kucheza na Mkubwa.Mpaka waje wajipate inakuwa kazi kweli kweli.
Nimewahurumia sana Gor Mahia na Azam kwa sababu hakuna muujiza utakaowapeleka Group Stage.
Means hata msimu ujao waki qualify wataendelea kuteseka.
Ungewatajia kabisa Top 5.Kama hujawahi kuleta ushindani kwenye zile top 5 hakuna anaekuona. Jirani kitendo cha kumvimbia Mamelod kimeanza kulipa. Dawa ya kuwa Mkubwa ni kucheza na Mkubwa.
Hakuna cha utopolo wala lunyasi hapa.Mna wivu sana nyio Utopolo
Anyway...Hakuna cha utopolo wala lunyasi hapa.
Wakati yanga wana mchumua molinga watu tuliojua boli tulisema yanga hawezi beba ubingwa.
Sasa wee umerevamp timu yako unategemea instant results kivipi?
Unfortunately football doesnt work that way!
Kitu nilichogundua kwa utaratibu uliowekwa na CAF njia pekee ya kuepukana na kukutana na vigogo ni kuwa na point nyingi tu. Azam wanatakiwa waanze safari yao ya kujitafuta kwa kuvimba haswa kwa Pyramids na APR, akikomaa akacheza makundi atakuwa kajisogeza sogeza kidogo. Yanga na Simba zimeshafanikiwa hadi sasa wao ni kupangiwa timu za viwango vya kawaida kwavile wapo kwenye kundi la highest ranking teams.Mpaka waje wajipate inakuwa kazi kweli kweli.
Nimewahurumia sana Gor Mahia na Azam kwata sababu hakuna muujiza utakaowapeleka Group Stage.
Means hata msimu ujao waki qualify wataendelea kuteseka.
Unataka kuwaumiza wafuasi wa mchungaji msigwa(chama),😂😂Ungewatajia kabisa Top 5.
1. Al ahly
2. Mamelod
3. Simba
4. Widad
5. Es. Tunis
Wewe mbumbumbu, ni PhD, hakuna phd.Kweli unapokuwa utopolo huwezi tofautisha akili ya muokota makopo majalalani na dr mwenye phd yake anaeyefundisha university. Yaani uwekezaji wa kucheza fainali ya ubingwa wa afrika ndio azizi ki ambae hafiki thamani hata ya ml 500? Na wanaonunua wachezaji wa b5 wasemeje?
Msimu huu hata Simba angeshiriki klabu bingwa angeanzia round ya awali, wengi humu ni machizi hamjui kinachoendelea.Inawezekana wewe ndiye unatakiwa ujifunze zaidi. Miaka yote hakuna timu inayoanzia hatua ya pili. Kuna kuna kuanza preliminary kwa zile timu dhaifu na baadaye ndio wanaofuzu preliminary wanaanza raundi ya kwanza kuungana na wale walioanza moja kwa moja raundi ya kwanza. Sasa mwaka jana Yanga akiwa bingwa alianza preliminary na timu nyingine dhaifu lakini Sima japo hakuwa bingwa alianza moja kwa moja raundi ya kwanza. Hiyo ni sawa? Kwa nini Yanga aonekane dhaifu wakati ni bingwa na aliyechukua nafasi ya pili yyani Simba aonekane mkubwa zaidi? Au wewe ndugu yangu hukujua hayo?