CAF Champions 2019/20: Habari njema kwa Simba SC

CAF Champions 2019/20: Habari njema kwa Simba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Inaripotiwa kuwa kuna uwezekano wa timu ambazo zilitinga hatua ya robo fainali ya klabu Bingwa Afrika CAF Champions League msimu huu wa 2018/2019 na msimu ujao wa 2019/2020 zitakutana na timu moja tu na kutinga hatua ya makundi na zilizocheza fainali zitaanzia makundi
.
Katika timu ambazo zimecheza robo fainali msimu huu Simba Sc toka Tanzania ipo hivyo iwapo kanuni hii itafanya kazi basi Simba watakutana na timu moja tu na wakishinda kwa Aggregate Home na Away Simba wataingia moja kwa moja katika hatua ya makundi
 
Hiyo kanuni kila msimu ipo.. Sio kitu kipya..
 
Wazee wa kitonga kwa fikra hizi alafu ndo mnasema mpo sawa na Espeŕance
 
Back
Top Bottom