OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Usiwatake povu mkuu na maswali yako ya uchokonoziWakifungwa je? Kanuni inasemaje?
Nani kasema tutafungwaWakifungwa je? Kanuni inasemaje?
Elewa swali basi....Nani kasema tutafungwa
ina maana FIFA hawajui kwamba vyura ndiyo wenye kocha bora afrika,wanaonewa kweli yanga maskini hadi CAF na FIFA zimehongwa na MO ziipendelee simbaKwahyo amtaki ushindani mnapenda kitonga ? Pumbavu sana bodaboda fc.
Mwarabu yupi atakaeomba apangiwe na Simba? Hivi tukifanyia kazi mapungufu ya msimu huu pale kwa mkapa zimepungua Sana 4 mgeni anakulaSimba mechi ya kwanza mnakutana na waarabu hesabuni mmetoka
tunza ujinga uliza warabu wote wanamjua simba sio ombaomba team hata Zambia haijulikani usiseme warabu ndio hawajui hiyo team, mchezaji kama Diof hajawai hata kuisikiaSimba mechi ya kwanza mnakutana na waarabu hesabuni mmetoka
Mimi. 😀😀😀😀Nani kasema tutafungwa
😀😀😀 ndio maana wamefurahia Mkuu.Kwahyo amtaki ushindani mnapenda kitonga ? Pumbavu sana bodaboda fc.
Source mimi mwenyeweSource
Tuko sawa Na LipuliWazee wa kitonga kwa fikra hizi alafu ndo mnasema mpo sawa na Espeŕance