CAF Champions 2019/20: Habari njema kwa Simba SC

Sasa hpa tunadondoshewa mwarabu x tatzo ilo
 
Simba taifa kubwa, ata tukianza kama tulivyoanza msimu huu bado nina uhakika tutafanya vizuri zaidi ya msimu huu kama tukisajili vizuri kwa malengo ya klabu bingwa.
 
Kuwa mwafrica ni kuwa mjinga automatically.
 

Hii sio kanuni mpya kwavile katika msimu unaomalizika timu kama Tp Mazembe, Mamelod Sundow, Al Halal ya Misri etc zilicheza mechi moja tu na kuingia katika makundi.
 
Kwahyo amtaki ushindani mnapenda kitonga ? Pumbavu sana bodaboda fc.
Ombaomba fc...povu la nini...tulieni dawa iwaingie...nipe ile namba mnayochangishia michango kuna miatano hapa nataka niwatumie wachezaji wasije kufa njaa
 
Mkuu vipi wale Wanaojiita Mabingwa wa kihistoria,historia haiwezi kuwafanya wacheze mechi 2 kisha waingie Robo fainali?
 
Simba mechi ya kwanza mnakutana na waarabu hesabuni mmetoka
Kumbuka hatuwezi kukutana na Waarabu kama Esperance, Wydad, Raja au Al Ahly, vile vile hatuwezi kucheza na Mazembe, Mamelodi au Horoya kwani wote tutakuwa chungu kimoja tunawasubiria washindi wa raundi ya kwanza kama Soura, Ismailia, Gor Mahia, Zesco nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…