GUGO CAF CHAMPIONS league 2019/2020
Wewe na msemaji wa tff nani tumwamin!!?? Inawezekana huo mtandao wa caf hawajauptodate piaNimepitia Wikipedia page ya CAF 2019
Tanzania tuna point 4. Bado hazikuwa zimefika 18.
Ni SIMBA tu ndio wataenda.
Timu nne ni 2020/2021.
GUGO CAF CHAMPIONS league 2019/2020
Msemaji wa TFF alisema Kapombe kaumia Mazoezini wakati sio kweli.
Inawezekana TFF waliambiwa 2020/2021 wao wakachachawa.
page ya trump unaweza kuedit sema inategemea na rank yako,,Sio Kila Jambo linaandikiwa na Kila mtu. Huwezi kwenda kuedit page let say ya Trump Wikipedia
Sema tff bhn wanashindwa kujua timu ipi inashuka daraja watajua mambo ya caf kweliWewe na msemaji wa tff nani tumwamin!!?? Inawezekana huo mtandao wa caf hawajauptodate pia
Mkuu msimu ujao Tz itakuwa na timu 4! Yanga tutashiriki ligi ya mabingwa! Kuna watu kama wanateseka hivi!Nimepitia Wikipedia page ya CAF 2019
Tanzania tuna point 4. Bado hazikuwa zimefika 18.
Ni SIMBA tu ndio wataenda.
Timu nne ni 2020/2021.
GUGO CAF CHAMPIONS league 2019/2020