CAF CHAMPIONS league 2019/2020. Ni SIMBA PEKEE,TFF wawe makini

CAF CHAMPIONS league 2019/2020. Ni SIMBA PEKEE,TFF wawe makini

Mzingo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
4,729
Reaction score
10,500
Nimepitia Wikipedia page ya CAF 2019

Tanzania tuna point 4. Bado hazikuwa zimefika 18.

Ni SIMBA tu ndio wataenda.

Timu nne ni 2020/2021.

GUGO CAF CHAMPIONS league 2019/2020
 
Nimepitia Wikipedia page ya CAF 2019

Tanzania tuna point 4. Bado hazikuwa zimefika 18.

Ni SIMBA tu ndio wataenda.

Timu nne ni 2020/2021.

GUGO CAF CHAMPIONS league 2019/2020
Wewe na msemaji wa tff nani tumwamin!!?? Inawezekana huo mtandao wa caf hawajauptodate pia
 
wikipedia kila mtu anaweza kuandika,,,,wikipedia sio chanzao cha uhakika
 
Don't relly on Wikipedia my friend,sometimes they lie us
Msemaji wa TFF alisema Kapombe kaumia Mazoezini wakati sio kweli.

Inawezekana TFF waliambiwa 2020/2021 wao wakachachawa.
 
wikipedia kila mtu anaweza kuandika,,,,wikipedia sio chanzao cha uhakika
Sio Kila Jambo linaandikiwa na Kila mtu. Huwezi kwenda kuedit page let say ya Trump Wikipedia
 
Sio Kila Jambo linaandikiwa na Kila mtu. Huwezi kwenda kuedit page let say ya Trump Wikipedia
page ya trump unaweza kuedit sema inategemea na rank yako,,
 
Nimepitia Wikipedia page ya CAF 2019

Tanzania tuna point 4. Bado hazikuwa zimefika 18.

Ni SIMBA tu ndio wataenda.

Timu nne ni 2020/2021.

GUGO CAF CHAMPIONS league 2019/2020
Mkuu msimu ujao Tz itakuwa na timu 4! Yanga tutashiriki ligi ya mabingwa! Kuna watu kama wanateseka hivi!
 
Yaani umesoma Wikipedia tu ndo umekuja na kujiamini kote huku??

Hebu tafuta vyanzo kama vinne au vitano hivi kama vinasema the same
 
Back
Top Bottom