CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Ngoja tuyafanyie kazi kombe la shirikisho
 
Ila yanga tumecheza mpira waarabu wenyewe walishakata tamaa ila mnyonye mnyongeni haki yake mpeni yanga kapiga mpira
 
Ila walikuwa wanafungika hawa waarab, ishu ni yanga walianza kupaki basi, ila kwa kweli wamejitahidi sana.
Wanastahili pongezi sana,Oscar ndo kaigharim timu kwa kusubiri mpira umfikie mguuni.Kwa mpira ule Simba tungepigwa 10 kwa kibuyu.
 
Barca akimfumania zoba huwa hafanyi mzaha hata kidogo. 8-0!! Dah Nimeikumbuka Deportivo ya Miguel Angel Angulo






Atletico Madrid na R.Madrid wakate rufaa TFF ,Haiwezekani mtu apigwe 8-0 Barca atakuwa kanunua mechi.Soka la bongo kama CCM na Jecha.
 
Kwisha kazi! Yanga Out, Karibuni mchangani
 
Hivi Yanga kuna ulazima gani wa kucheza na waarabu hali ya kuwa mnajua kabisa lazima mfungwe?kama mtu humuwezi bora unyooshe mikono yaishe.
mikia kama madem vile. eti Yanga inabebwa, mmeona shughuli?
 
Ligi yetu bado saaana,lazima tukubali
Tunacheza saana mpira wa magazetini,na mbwembwe nyingiii
Maana juzi tu iluwa Azam yawa Gumzo Tunis,hahaha,mara kocha wa Esperance atetemeka hatimae tukachapwa vitatu,sasa nani anatetemeka,leo hii yale yaleeee.
Ligi,Ligi ,Ligi,ligi yetu bado hovyooooooooo
Tunisia na Misri zote zilipitia kipindi cha machafuko,lakini bado wapo vizuri saana,sie wa amani bado hovyoooo
Acha anaejua Astahiki kuendelea mbele,Yanga karibuni sana Tanzania yenu ndio hiyo
 
Yanga hatuwezi kua wa mchangani ni wa kimataifa siku zote sisi sio mikia bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…