Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani amani zaidi ya 1500%bora,tusingelala leo,miji imepoooa
wakimataifwa sijui kesho watakuja na lipi mi kesho nasikiliza vipindi vyote vya michezoWa Kimataifaaaaaa!
Ila walikuwa wanafungika hawa waarab, ishu ni yanga walianza kupaki basi, ila kwa kweli wamejitahidi sana.Jamaa wametukimbiza sana, mwanzo hadi mwisho, nadhani tuliishiwa pumzi. Siyo mbaya, hatua tuliyofikia imewaduwaza hata wao.
wakimataifa hapa watapita tu,wanaenda shirikisho na tp mazembe...Wamekufa kiume - kauli hii mpaka lini? Anyway ,karibuni tena nyumbani kwenye mbereko za penati,kadi nyekundu za utatanishi..!!Mbereko huko hamna hivyo tutaendelea kufa kishujaa mpaka yesu arudi !
Mimi bado hainiingii kabisa akilini timu inacheza ugenini dakika zimeisha mnashindwa kupaki basi na mnaruhusu goli, kwakweli mimi ushabiki wa mpira siuwezi haya mambo yanaudhi. Penati huwa hazina mwenyewe tumepoteza nafasi adimu ya kuandika historia mpya leo.Ilikuwa ni poor marking kwenye krosi ya shambulizi...Hata goli lao la kwanza ni poor marking ya kona
Mikia tukutane kwenye ligi wakati huo sie tunaenda shirikishobora,tusingelala leo,miji imepoooa
Kwa kweli hata mimi ni simba ila leo nilikuwa na yanga kwa dhati kabisa, nimejikuta tu nawashabikia. Nimeudhika sana kufungwa goli dk ile.Da!mimi Simba ila nilikuwa nataka Yanga ishinde ila bado wachezaji wetu bado wana kushangaa uwanjani maana beki alikuwa na uwezo wa kuokoa ila akasubiri mpira umfikie mguuni.
ha ha haaaMikia tukutane kwenye ligi wakati huo sie tunaenda shirikisho