CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Toka asubuhi naangaika kuset king'amuzi changu bien sport,maana kumsikiliza mtangazaji wa kiarabu wakati jamaa zetu wanapigwa kuna raha yake,mikia sufuri al ahly sabaa

Aluaa aluaaa aluaa
 
Hivyo unataka kusemaje mwaka huu mtafanya kipi? Nataka nihifadhi kauli yako. Enheee. 👂👂
 
Insha Allah na iwe hivyo Mtani japo najua utayakataa haya maneno.
Wewe mwenyewe unajua hamna binadamu yeyote yule asiyemuogopa simba, tutapita kwa uwezo wa Allah, pia hongera kwa ushindi wa leo pale Sokoine, mwenzio azam kapokea kipigo pale turiani, kwenye mechi yenu ya kumalizia mzunguko wa kwanza na azam itakuwa niya kufa na kupona, hope azam atatoboa tundu.
 
Hahahaaa. Tusubiri tuone jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…