ngogo s ngogo
Senior Member
- Nov 29, 2015
- 134
- 81
Mi nilitaka niulize kama jamaa yupo likizo au ni jobless na Leo siyo weekend"JF, the home of great thinkers"
Hivi hii slogan bado ni relevant kweli na member sampuli ya Jembekillo !??
Endelea mkuu
Caf online au nini?
Asee umewagusa sana kunako tundu lile tundu alilosema mh Rais limetobolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Draw wanachezesha sahizi wewe hii ya kwako umeitoa wapi?
Huyo yanga. AnazinguaDraw wanachezesha sahizi wewe hii ya kwako umeitoa wapi?
Mara zote wanafanyaga hivyo, ISHUKURU Simba imekufanya ujue haya mambo.Waafrica sijui tulikoseaga wapi yaani mambo yetu kienyeji Sana muda wote watu wamekaa tu kama wanasubiri mtu hawajui Kuna watu wanaangalia online MB zinakata tu kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app