Akili ndogo, mbona kuna RS BERKANE hapo na haipo Cafcl wala Cafcc na kuna Pyramids pia haipo CAFcl?? Kipimo cha ubora wa team hauwezi kukiangalia kupitia tournament moja, jifunze tena mpira ndugu yangu..CAF champions league ndo kilele Cha Mpira wa Vilabu Barani Africa
:- Au kwa Watasha unasema CAF champions league is the Pinnacle of Club football in AFRICA
:- Ni kama shule tu.Mnaweza kuanza Mia tatu (300) .Lakini Kileleni (Graduation) mkafika 50 tu .
:- Mtu yyte anayekwambia team yake imepiga hatua za mbali sana na hapa haipo.So unaweza kujiuliza walikuwa wapi na sasa hivi wapo wapi? LEVELS
That's Life [emoji2][emoji2]
View attachment 2582891
Big up to manara,Akili ndogo, mbona kuna RS BERKANE hapo na haipo Cafcl wala Cafcc na kuna Pyramids pia haipo CAFcl?? Kipimo cha ubora wa team hauwezi kukiangalia kupitia tournament moja, jifunze tena mpira ndugu yangu..
Hao wenzake wote wana kombe aidha la CAF CC au CAF CLAkili ndogo, mbona kuna RS BERKANE hapo na haipo Cafcl wala Cafcc na kuna Pyramids pia haipo CAFcl?? Kipimo cha ubora wa team hauwezi kukiangalia kupitia tournament moja, jifunze tena mpira ndugu yangu..
Rage alikuwa sahihi sanaBig up to manara,
Ajengewe sanamu kuuuuubwa pale lugalo na lilindwe uto wasije kuliiba
Taja timu ambayo ipo robo ktk CAFCL na haipo katika hiyo list......
AKILI HUNA
HUNA AKILI
Daaaaah we jamaa bwana, hoja yangu ni kwamba kama CAFCL ndo kila kitu kwann RS BERKANE na Pyramids wapo ndani ya hiyo best ten wakati wao hawapo huko CAFCL tena BERKANE hata Cafcc hayupo kabisa, jibu hii hoja, then sijasema akili huna nimesema akili ndogo, tatizo lako kila kitu unaweza ushabiki mzee Baba..Big up to manara,
Ajengewe sanamu kuuuuubwa pale lugalo na lilindwe uto wasije kuliiba
Taja timu ambayo ipo robo ktk CAFCL na haipo katika hiyo list......
AKILI HUNA
HUNA AKILI
Nataka kujua kwann RS BERKANE na Pyramids wapo kwenye hiyo list wakati hawapo CAFCL??Big up to manara,
Ajengewe sanamu kuuuuubwa pale lugalo na lilindwe uto wasije kuliiba
Taja timu ambayo ipo robo ktk CAFCL na haipo katika hiyo list......
AKILI HUNA
HUNA AKILI
Yeah, wanapima kwa miaka mitano iliyopita. Ndio maana Berkane haipo mashindanoni lakini ilifanya vizuri kwa ujumla wa miaka minne mingine ukiondoa huu, na Yanga ipo mashindanoni lakini haikufanya zaidi ya Berkane kwa ujumla wa miaka mitano. Calculations za jinsi points na weight zake zinavyopatikana nazijua, ila sitaziweka hadi itakapobidiAkili ndogo, mbona kuna RS BERKANE hapo na haipo Cafcl wala Cafcc na kuna Pyramids pia haipo CAFcl?? Kipimo cha ubora wa team hauwezi kukiangalia kupitia tournament moja, jifunze tena mpira ndugu yangu..
Huoni wivu,mnyama anakuwa kwenye list ya wakubwa waliowahi kutwaa vikombe,hiyo sio dalili nzuri hiyo????Hao wenzake wote wana kombe aidha la CAF CC au CAF CL
Muulize timu yake Ina nini Cha maana Cha kuonyesha
Hiki kichaka ndicho kilichobaki Novemba siyo mbaliHuoni wivu,mnyama anakuwa kwenye list ya wakubwa waliowahi kutwaa vikombe,hiyo sio dalili nzuri hiyo????
Wydad na Raja. Wewe je?CAF champions league ndo kilele Cha Mpira wa Vilabu Barani Africa
:- Au kwa Watasha unasema CAF champions league is the Pinnacle of Club football in AFRICA
:- Ni kama shule tu.Mnaweza kuanza Mia tatu (300) .Lakini Kileleni (Graduation) mkafika 50 tu .
:- Mtu yyte anayekwambia team yake imepiga hatua za mbali sana na hapa haipo.So unaweza kujiuliza walikuwa wapi na sasa hivi wapo wapi? LEVELS
That's Life [emoji2][emoji2]
View attachment 2582891
Swali jingine je walifanya vizuri kwenye CAFCL au CAF cc??Yeah, wanapima kwa miaka mitano iliyopita. Ndio maana Berkane haipo mashindanoni lakini ilifanya vizuri kwa ujumla wa miaka minne mingine ukiondoa huu, na Yanga ipo mashindanoni lakini haikufanya zaidi ya Berkane kwa ujumla wa miaka mitano. Calculations za jinsi points na weight zake zinavyopatikana nazijua, ila sitaziweka hadi itakapobidi