CAF champions league is the Pinnacle of Club football in AFRICA

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
CAF champions league ndo kilele Cha Mpira wa Vilabu Barani Africa

:- Au kwa Watasha unasema CAF champions league is the Pinnacle of Club football in AFRICA

:- Ni kama shule tu.Mnaweza kuanza Mia tatu (300) .Lakini Kileleni (Graduation) mkafika 50 tu .

:- Mtu yyte anayekwambia team yake imepiga hatua za mbali sana na hapa haipo.So unaweza kujiuliza walikuwa wapi na sasa hivi wapo wapi? LEVELS

That's Life [emoji2][emoji2]

20230407_134057.jpg
 
View attachment 2582891
Akili ndogo, mbona kuna RS BERKANE hapo na haipo Cafcl wala Cafcc na kuna Pyramids pia haipo CAFcl?? Kipimo cha ubora wa team hauwezi kukiangalia kupitia tournament moja, jifunze tena mpira ndugu yangu..
 
Big up to manara,
Ajengewe sanamu kuuuuubwa pale lugalo na lilindwe uto wasije kuliiba

Taja timu ambayo ipo robo ktk CAFCL na haipo katika hiyo list......

AKILI HUNA

HUNA AKILI
 
Hao wenzake wote wana kombe aidha la CAF CC au CAF CL

Muulize timu yake Ina nini Cha maana Cha kuonyesha
 
Daaaaah we jamaa bwana, hoja yangu ni kwamba kama CAFCL ndo kila kitu kwann RS BERKANE na Pyramids wapo ndani ya hiyo best ten wakati wao hawapo huko CAFCL tena BERKANE hata Cafcc hayupo kabisa, jibu hii hoja, then sijasema akili huna nimesema akili ndogo, tatizo lako kila kitu unaweza ushabiki mzee Baba..
 
Big up to manara,
Ajengewe sanamu kuuuuubwa pale lugalo na lilindwe uto wasije kuliiba

Taja timu ambayo ipo robo ktk CAFCL na haipo katika hiyo list......

AKILI HUNA

HUNA AKILI
Nataka kujua kwann RS BERKANE na Pyramids wapo kwenye hiyo list wakati hawapo CAFCL??
 
Akili ndogo, mbona kuna RS BERKANE hapo na haipo Cafcl wala Cafcc na kuna Pyramids pia haipo CAFcl?? Kipimo cha ubora wa team hauwezi kukiangalia kupitia tournament moja, jifunze tena mpira ndugu yangu..
Yeah, wanapima kwa miaka mitano iliyopita. Ndio maana Berkane haipo mashindanoni lakini ilifanya vizuri kwa ujumla wa miaka minne mingine ukiondoa huu, na Yanga ipo mashindanoni lakini haikufanya zaidi ya Berkane kwa ujumla wa miaka mitano. Calculations za jinsi points na weight zake zinavyopatikana nazijua, ila sitaziweka hadi itakapobidi
 
Hao wenzake wote wana kombe aidha la CAF CC au CAF CL

Muulize timu yake Ina nini Cha maana Cha kuonyesha
Huoni wivu,mnyama anakuwa kwenye list ya wakubwa waliowahi kutwaa vikombe,hiyo sio dalili nzuri hiyo????
 
CAF champions league ndo kilele Cha Mpira wa Vilabu Barani Africa

:- Au kwa Watasha unasema CAF champions league is the Pinnacle of Club football in AFRICA

:- Ni kama shule tu.Mnaweza kuanza Mia tatu (300) .Lakini Kileleni (Graduation) mkafika 50 tu .

:- Mtu yyte anayekwambia team yake imepiga hatua za mbali sana na hapa haipo.So unaweza kujiuliza walikuwa wapi na sasa hivi wapo wapi? LEVELS

That's Life [emoji2][emoji2]

View attachment 2582891
Wydad na Raja. Wewe je?
 
Yeah, wanapima kwa miaka mitano iliyopita. Ndio maana Berkane haipo mashindanoni lakini ilifanya vizuri kwa ujumla wa miaka minne mingine ukiondoa huu, na Yanga ipo mashindanoni lakini haikufanya zaidi ya Berkane kwa ujumla wa miaka mitano. Calculations za jinsi points na weight zake zinavyopatikana nazijua, ila sitaziweka hadi itakapobidi
Swali jingine je walifanya vizuri kwenye CAFCL au CAF cc??
 
Back
Top Bottom