CAF Champions League: Simba yatinga hatua ya makundi

Sawa la kuandaa wachezaji ni zuri na ndilo linatakiwa....la kuongezea pia hata hawa wa sasa hivi waliopo wana chakuchagua kutoka kwa wageni kipi kizuri kipi kibaya,then wakihamishie kwao icho kizuri na cc tuone faida ya watz kucheza na wageni pamoja kwani ina maana huoni huo umuhimu?siyo lazima ukopyi na kupesti wachezavyo "learn from other peoples experience"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…