Maili tatu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 830
- 1,070
Sawa la kuandaa wachezaji ni zuri na ndilo linatakiwa....la kuongezea pia hata hawa wa sasa hivi waliopo wana chakuchagua kutoka kwa wageni kipi kizuri kipi kibaya,then wakihamishie kwao icho kizuri na cc tuone faida ya watz kucheza na wageni pamoja kwani ina maana huoni huo umuhimu?siyo lazima ukopyi na kupesti wachezavyo "learn from other peoples experience"Braza copy and paste ingekuwa rahisi hivyo basi ata sie tungeshakuwa donor country zamani. Mpaka leo ata kutengeneza gari hatuwezi so kuwa na foreign players playing in the league haimaanishi kuwa magicaly wachezji wetu watakuwa wazuri kivile.
Wanaotumia billions kwenye academy, kusomesha makocha, research kuhusu mchezo wenyewe and how players learn sio wajinga.