CAF champions league

Simba / power dinamo pia ni dhaifu
 
Kwahiyo power dynamos imeanzia hatua ya pili?
Timu zilizoanzia raundi ya kwanza sio ya pili.Je Power Dynamos ilianzia raundi gani ilipocheza na African Stars ya Namibia?Jaribu kuelewa unachokisoma.Ilianzia raundi ya awali hivyo sio timu ngumu kitwakimu kwenye Champions League.
 
Sasa kwanini kwenye list haipo hiyo power dynamos au kwavile inacheza na Simba ndio inageuka kuwa timu nzuri?
 
Hawa vibonde wambe Yanga asiingie makundi
 
Timu zilizoanzia raundi ya kwanza sio ya pili.Je Power Dynamos ilianzia raundi gani ilipocheza na African Stars ya Namibia?Jaribu kuelewa unachokisoma.Ilianzia raundi ya awali hivyo sio timu ngumu kitwakimu kwenye Champions League.
Kitakwimu.
 
Takwimu gani bora zaidi ya kuwa na trophies 5 za Cafcl ambazo Mazembe anazo?? Unasemaje Mazembe ni dhaifu zaidi ya Simba??
 
Mazembe alizipata hizo trophies lini mara ya mwisho?Takwimu hizi ni za miaka 5 iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…