Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba / power dinamo pia ni dhaifuHizi ndizo baadhi ya timu dhaifu ambazo zitaingia makundi na zote zitawekwa port 4 na 3 isipokuwa MAZEMBE
=>Medeama/ Horoya
=>Big bullet/ To Mazembe
=>Al Ahly Benghazi/ ASEC Mimosas
=>Real Bamako/ Nouadhibou
=>Primerio De Agosto/ Al hilal Omduman
=>Al Merreikh/ Young Africa
NB: Baadhi.
Mshindo ulikuwa mrefu sana mzee"Kimya kingi kina mshindo"
Wako ni ushabiki lakini uhalisia hauonyeshi hivyo.Timu zilizoanza raundi ya kwanza ni timu ngumu kitwakimu.Upende usipende.Simba / power dinamo pia ni dhaifu
Kwahiyo power dynamos imeanzia hatua ya pili?Wako ni ushabiki lakini uhalisia hauonyeshi hivyo.Timu zilizoanza raundi ya kwanza ni timu ngumu kitwakimu.Upende usipende.
Timu zilizoanzia raundi ya kwanza sio ya pili.Je Power Dynamos ilianzia raundi gani ilipocheza na African Stars ya Namibia?Jaribu kuelewa unachokisoma.Ilianzia raundi ya awali hivyo sio timu ngumu kitwakimu kwenye Champions League.Kwahiyo power dynamos imeanzia hatua ya pili?
Simba ni level yako? Hujiulizi tu kwanini umeanzia hatua ya awali halafu mwenzao anaenda kuanzia hatua ya pili?Simba amekosaje hapo ewe kolowizard
Sasa kwanini kwenye list haipo hiyo power dynamos au kwavile inacheza na Simba ndio inageuka kuwa timu nzuri?Timu zilizoanzia raundi ya kwanza sio ya pili.Je Power Dynamos ilianzia raundi gani ilipocheza na African Stars ya Namibia?Jaribu kuelewa unachokisoma.Ilianzia raundi ya awali hivyo sio timu ngumu kitwakimu kwenye Champions League.
Swali hilo ungemuuliza aliyeandika hiyo listi ili upate sababu zake.Sasa kwanini kwenye list haipo hiyo power dynamos au kwavile inacheza na Simba ndio inageuka kuwa timu nzuri?
Hizi ndizo baadhi ya timu dhaifu ambazo zitaingia makundi na zote zitawekwa port 4 na 3 isipokuwa MAZEMBE
=>Medeama/ Horoya
=>Big bullet/ To Mazembe
=>Al Ahly Benghazi/ ASEC Mimosas
=>Real Bamako/ Nouadhibou
=>Primerio De Agosto/ Al hilal Omduman
=>Al Merreikh/ Young Africa
NB: Baadhi.
Kitakwimu.Timu zilizoanzia raundi ya kwanza sio ya pili.Je Power Dynamos ilianzia raundi gani ilipocheza na African Stars ya Namibia?Jaribu kuelewa unachokisoma.Ilianzia raundi ya awali hivyo sio timu ngumu kitwakimu kwenye Champions League.
Kwani takwimu zinatokana na nini?Si na michezo mliyocheza au unafikiri pointi za mezani?Kitakwimu.
Mkuu, nimejaribu kurekebisha neno.Maana mlilikosea mara mbili.Kwani takwimu zinatokana na nini?Si na michezo mliyocheza au unafikiri pointi za mezani?
Takwimu gani bora zaidi ya kuwa na trophies 5 za Cafcl ambazo Mazembe anazo?? Unasemaje Mazembe ni dhaifu zaidi ya Simba??Timu zilizoanzia raundi ya kwanza sio ya pili.Je Power Dynamos ilianzia raundi gani ilipocheza na African Stars ya Namibia?Jaribu kuelewa unachokisoma.Ilianzia raundi ya awali hivyo sio timu ngumu kitwakimu kwenye Champions League.
Mazembe alizipata hizo trophies lini mara ya mwisho?Takwimu hizi ni za miaka 5 iliyopita.Takwimu gani bora zaidi ya kuwa na trophies 5 za Cafcl ambazo Mazembe anazo?? Unasemaje Mazembe ni dhaifu zaidi ya Simba??