Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kwa sasa Simba amebaki kujificha nyuma ya Wydad, AlAhyl na "wakubwa" wengine kulingana na kamusi yake binafsi
Ukimbana kidogo kwenye kanyampasira, utasikia "mpaka mcheze siuji na Wydad, sijui Al Ahyl sijui Raja...." Utafikiri Hawa hawafungiki
Sasa Yanga ashaonja damu na hatoacha, Waarabu washachezea mtambalimbo wa Yanga Home and Away, hivyo Simba ajiandae kisaikolojia yeye na hao kaka zake aliyowafanya ngao yake.
Ole wake mtu amtegemeaye binadamu mwenzie
CAF CL 2023/2024 here we come.