Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ana akili sanaRais wa Yanga jana akiwa Wasafi amesema malengo yao next ni kuingia Group stage CAFCL,Nikadhani kwakuwa wamefika fainali CAFCC sasa angeweka malengo ya fainali CL kabisa,kumbe ni group stahe tu
Hapana usipotoshe Mkuu,malengo ya mwaka huu yalikuwa ni hayo hayo ya group stage CL au umesahau kuwa CC mlikwenda baada ya kufurushwa na Al Hilal huku kwa wakubwa? Hebu tafuta clip za Hersi akiongelea malengo haya kama kuna popote alisema malengo ni group stage CC?Ana akili sana
Hata msimu huu kwenye CAF CC aliweka malengo ya kuingia makundi tu
Weka wewe hiyo clip,Hapana usipotoshe Mkuu,malengo ya mwaka huu yalikuwa ni hayo hayo ya group stage CL au?
Nakuuliza swali dogo tu,Yanga ilianzia mashindano CC au CL?Weka wewe hiyo clip,
CLNakuuliza swali dogo tu,Yanga ilianzia mashindano CC au CL?
Sasa unabisha nini kuwa malengo ya awali ya Yanga ilikuwa ni group stage CL?CL
Kam wewe tu msimu mmoja nyuma
Kuna jipya hapo!?
Kwani walipoweka malengo ya kufika group stage ya caf confederation cup wameishia wapi? Malengo ni jambo moja na kuyafikia ni jambo jingine, akuna mkataba unaousaini kwamba ukifika group stage basi unazuiwa kusonga mbele iyo ni akili yako tu ya kuwa na ubongo wa sisimizi!Rais wa Yanga jana akiwa Wasafi amesema malengo yao next ni kuingia Group stage CAFCL,Nikadhani kwakuwa wamefika fainali CAFCC sasa angeweka malengo ya fainali CL kabisa,kumbe ni group stage tu
Kilichobadilika nini hapo!?Sasa unabisha nini kuwa malengo ya awali ya Yanga ilikuwa ni group stage CL?
Nyamizi anajitesa bureKwani walipoweka malengo ya kufika group stage ya caf confederation cup wameishia wapi? Malengo ni jambo moja na kuyafikia ni jambo jingine, akuna mkataba unaousaini kwamba ukifika group stage basi unazuiwa kusonga mbele iyo ni akili yako tu ya kuwa na ubongo wa sisimizi!
Hata hujaelewa point yangu,si bora mimi mwenye ubongo wa sisimizi kuliko wewe uliyepuyanga kwa comment yangu bila hata kuielewa.Kwani walipoweka malengo ya kufika group stage ya caf confederation cup wameishia wapi? Malengo ni jambo moja na kuyafikia ni jambo jingine, akuna mkataba unaousaini kwamba ukifika group stage basi unazuiwa kusonga mbele iyo ni akili yako tu ya kuwa na ubongo wa sisimizi!
Narudia tena kukumbusha.Nimeanza kwa kukukosoa uliposema tangu awali malengo ya Yanga ilikuwa ni group stage CC,nikakukumbusha kuwa malengo ya Yanga ya awali ilikuwa ni Group stage CL kwakuwa huko ndipo walianzia.Kilichobadilika nini hapo!?
Wewe wakati unatolewa CL hukuwa na malengo ya Robo Fainali CL!?
Hoja yangu inasimama pale pale,hayo ya awali au kabla baki nayoNarudia tena kukumbusha.Nimeanza kwa kukukosoa uliposema tangu awali malengo ya Yanga ilikuwa ni group stage CC,nikakukumbusha kuwa malengo ya Yanga ya awali ilikuwa ni Group stage CL kwakuwa huko ndipo walianzia.
Ungeeleweka kama ungesema hivi 'baada ya kuondolewa CL na kwenda CC,Yanga walijiwekea tena malengo mengine ya group stage CC'.
1. Weka hapa orodha za wakubwa ambao hawakuwahi kucheza CAFCCL.Hapana usipotoshe Mkuu,malengo ya mwaka huu yalikuwa ni hayo hayo ya group stage CL au umesahau kuwa CC mlikwenda baada ya kufurushwa na Al Hilal huku kwa wakubwa? Hebu tafuta clip za Hersi akiongelea malengo haya kama kuna popote alisema malengo ni group stage CC?
Hoja yangu inasimama pale pale,hayo ya awali au kabla baki nayo
2023/2024 haipo mbali,sajilini mambo yakusema sijui timu dhaifu kisa kafungwa na Yanga hatutaki kuyasikia tena
Huna ukubwa wowoteKaribuni sana kwenye mashindano ya wakubwa zaidi barani Africa CAFCL,safari hii jipapatueni walau mfike hiyo Group stage ili mcheze na kina Raja,Wydad,Mamelod,Al Ahly and the likes muonje radha halisi ya CL mtani.
Si bora Simba ni kenge kati ya mamba sasa Yanga ni mjusi kati ya Kenge na Mamba.Huna ukubwa wowote
We ni kenge kati ya mamba
Wote ni kenge tuSi bora Simba ni kenge kati ya mamba sasa Yanga ni mjusi kati ya Kenge na Mamba.
mtego huo...hata mwanzo wa msimu huu hizo ndo zilikuwa kauli zake,MAHESABU YA MWISHO WA MSIMU NADHANI MMEYAONA!!Rais wa Yanga jana akiwa Wasafi amesema malengo yao next ni kuingia Group stage CAFCL,Nikadhani kwakuwa wamefika fainali CAFCC sasa angeweka malengo ya fainali CL kabisa,kumbe ni group stage tu