Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yanga siwaoni?Kwenye pyramid angekuwepo yanga, vipi angetoboa?View attachment 1261253
Angalia vizuri mkuuMbona yanga siwaoni?
KUNDI EAngalia vizuri mkuu
Kaza macho
Ikibidi tumia jicho la tatu
Nchi za Kusini mwa Jangwa LA Sahara unazijua??Mbona ziko nyingi hapo??Nigeria,DR Congo,Benin,Mali,South Africa na Ivory CoastKusini mwa jangwa la Sahara kuna nchi tatu tu
Sawa, nimeona hivyoNchi za Kusini mwa Jangwa LA Sahara unazijua??Mbona ziko nyingi hapo??Nigeria,DR Congo,Benin,Mali,South Africa na Ivory Coast
Na ZambiaNchi za Kusini mwa Jangwa LA Sahara unazijua??Mbona ziko nyingi hapo??Nigeria,DR Congo,Benin,Mali,South Africa na Ivory Coast
Maarabu inatawala soka la Afrika.Kwenye pyramid angekuwepo yanga, vipi angetoboa?View attachment 1261253
Hata Simba siwaoni hawa mabeberu washenzi kweli!Mbona yanga siwaoni?
Hata Simba siwaoni hawa mabeberu washenzi kweli!