mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Caf confederation cup ni michuano ya wachovu!! Hata timu iliyotolewa mapema tu uko caf champions league, lakini akirudi kwa wachovu anafika fainali!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashindano Yana fc Bamako , Rivers , mara Malumo ,sijui nini huko. Timu ambazo ukiwauliza hata wao wenyewe kwamba mlishawahi kuzisikia hizo timu tangu mmezaliwa nao watakwambia hatujawahi kuzisikia.Halafu wanakaza mafuvu " UTO NI TIMU BORA " mwaka huu.