Inshort tu ni kwamba wana struggle sana ila ili kupata matokeo, tofauti na kipindi cha nyumbaYaani wanagonga mpira wa kiuni, hao Makolo Bora waombe kujitoa mapemaa la sivyo watakiona Cha mtema kuni.
Simba ya mwaka huu inatuaibisha Sana!!Yaani wanagonga mpira wa kiuni, hao Makolo Bora waombe kujitoa mapemaa la sivyo watakiona Cha mtema kuni.
Kabisaaah mkuu, hii ndyo Hali harisi, hatuwezi jipa moyo nakati timu inacheza ugoro mtupu uwanjani!
Hata Simba hii ni timu ya kawaida sana, haina maajabu.Mkuu mbona POT ya timu ambazo atapangiwa ni timu za kawaida tu au wewe wasemaje?
Kwakweli zamu hii kazi tunayo,tuna wachezaji wazembe sana ,tunahitaji mabadiliko ya gafla bila hivo hata ligi kuu zamu hii tutazinguaMkuu, usiangalie ukawaida wa jina la timu, angalia Simba SC imejipangaje?? Yan tunazidiwa na utopolo mbali kabisaaah, hata mtibwa tukikutana nayo watatunyoosha simbuse hizo timu za port 2,??
Banch la ufundi Simba washituke mapema, viungo wetu wanapwaya Sana, kiwango Ni kibovu Sana!!
Muda bado upo mwingi tu,vibaya kukata tamaaKwakweli zamu hii kazi tunayo,tuna wachezaji wazembe sana ,tunahitaji mabadiliko ya gafla bila hivo hata ligi kuu zamu hii tutazingua
Hili nalo linaweza kuwa nenoHata Simba hii ni timu ya kawaida sana, haina maajabu.
Kumbuka hizo timu za pot 2 zimeshacheza mechi 4 kila timu na kufanikiwa kufika hapo.
Usikariri majina ya timu, mpira umebadirika sana unless kama umeangalia mechi zao 4 za kwanza.
Timu za Comoro na Shelisheli hazipo hapo, zilishatolewa raundi ya awali sambamba na UtopoloMwijaku fc ili apite apangiwe na timu za Comoro na Shelisheli vinginevyo atatia aibu tena
Ego za watu wa West Africa, hawezi kuacha.Pia yule Morrison inabidi aache masihara, asijikute yy ndo anajua sana
Kocha sijui anamuogopaPia yule Morrison inabidi aache masihara, asijikute yy ndo anajua sana
Hao waliopangwa na simba wote wanalogeka mamaeeeePots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26
View attachment 1986479View attachment 1986476
CAF Confederation Cup Play-off round POTS
Draw Procedure
POT 1 vs. POT 2
POT 4 vs. POT 3
POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League
POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup
POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League
POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup
Simba SC ambayo ni timu pekee kwa Tanzania kusalia ktk michuano ya Afrika wana nafasi kubwa ya kupita ktk round hii na kwenda hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali au hata fainali kabisa na kuchukua kombe la shirikisho barani Afrika
Kila lenye kheri Simba SC
Nimejaribu kipitia website yao ya CAF sijaona wakiweka hizi pot na critea za upangaji wa mechi za play off zaidi tu nimeona wameorodhesha timu na kisha kusema kuwa kesho ndio draw inafanyika.Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26
View attachment 1986479View attachment 1986476
CAF Confederation Cup Play-off round POTS
Draw Procedure
POT 1 vs. POT 2
POT 4 vs. POT 3
POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League
POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup
POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League
POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup
Simba SC ambayo ni timu pekee kwa Tanzania kusalia ktk michuano ya Afrika wana nafasi kubwa ya kupita ktk round hii na kwenda hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali au hata fainali kabisa na kuchukua kombe la shirikisho barani Afrika
Kila lenye kheri Simba SC
Uchuro umeanza!
Huyo hawezi kubadilika ni kama vile unavyomuona Baloteli.Mchezaji mkubwa na kacheza timu kubwa Afrika ila bado anafanya mambo ya ajabu uwanjani
African sports journalistNimejaribu kipitia website yao ya CAF sijaona wakiweka hizi pot na critea za upangaji wa mechi za play off zaidi tu nimeona wameorodhesha timu na kisha kusema kuwa kesho ndio draw inafanyika.
Sio mbaya ukaweka na source ya taarifa mkuu au hata link