CAF Confederation cup play-off round POTS

Yaani wanagonga mpira wa kiuni, hao Makolo Bora waombe kujitoa mapemaa la sivyo watakiona Cha mtema kuni.
Inshort tu ni kwamba wana struggle sana ila ili kupata matokeo, tofauti na kipindi cha nyumba

Ubora wao wa sasa inapimwa na ubora wao wa nyuma
 
Mkuu mbona POT ya timu ambazo atapangiwa ni timu za kawaida tu au wewe wasemaje?
Hata Simba hii ni timu ya kawaida sana, haina maajabu.

Kumbuka hizo timu za pot 2 zimeshacheza mechi 4 kila timu na kufanikiwa kufika hapo.

Usikariri majina ya timu, mpira umebadirika sana unless kama umeangalia mechi zao 4 za kwanza.
 
Mkuu, usiangalie ukawaida wa jina la timu, angalia Simba SC imejipangaje?? Yan tunazidiwa na utopolo mbali kabisaaah, hata mtibwa tukikutana nayo watatunyoosha simbuse hizo timu za port 2,??

Banch la ufundi Simba washituke mapema, viungo wetu wanapwaya Sana, kiwango Ni kibovu Sana!!
Kwakweli zamu hii kazi tunayo,tuna wachezaji wazembe sana ,tunahitaji mabadiliko ya gafla bila hivo hata ligi kuu zamu hii tutazingua
 
Hata Simba hii ni timu ya kawaida sana, haina maajabu.

Kumbuka hizo timu za pot 2 zimeshacheza mechi 4 kila timu na kufanikiwa kufika hapo.

Usikariri majina ya timu, mpira umebadirika sana unless kama umeangalia mechi zao 4 za kwanza.
Hili nalo linaweza kuwa neno
 
Kwakweli zamu hii kazi tunayo,tuna wachezaji wazembe sana ,tunahitaji mabadiliko ya gafla bila hivo hata ligi kuu zamu hii tutazingua
Ila yule kapombe kama ameanza kuchoka hivi au ni macho yangu tu
 
Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26

View attachment 1986479View attachment 1986476
CAF Confederation Cup Play-off round POTS

Draw Procedure

POT 1 vs. POT 2

POT 4 vs. POT 3

POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League

POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup

POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League

POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup

Simba SC ambayo ni timu pekee kwa Tanzania kusalia ktk michuano ya Afrika wana nafasi kubwa ya kupita ktk round hii na kwenda hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali au hata fainali kabisa na kuchukua kombe la shirikisho barani Afrika

Kila lenye kheri Simba SC
Hao waliopangwa na simba wote wanalogeka mamaeeee
 
Nimejaribu kipitia website yao ya CAF sijaona wakiweka hizi pot na critea za upangaji wa mechi za play off zaidi tu nimeona wameorodhesha timu na kisha kusema kuwa kesho ndio draw inafanyika.

Sio mbaya ukaweka na source ya taarifa mkuu au hata link
 
African sports journalist
NUHU ADAMS - Twitter, Facebook
 
Back
Top Bottom