Watu walipewa fungu la kuwaloga wale jwaneng wakazingua mamaeeeEti wanalogeka hahaha
Kama kuwafunga jwaneng galaxy timu mbov kuwah kuiona ikiqualify cl group stage ni tabùu...hayo mengine hayawesekanPots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26
View attachment 1986479View attachment 1986476
CAF Confederation Cup Play-off round POTS
Draw Procedure
POT 1 vs. POT 2
POT 4 vs. POT 3
POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League
POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup
POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League
POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup
Simba SC ambayo ni timu pekee kwa Tanzania kusalia ktk michuano ya Afrika wana nafasi kubwa ya kupita ktk round hii na kwenda hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali au hata fainali kabisa na kuchukua kombe la shirikisho barani Afrika
Kila lenye kheri Simba SC
Sawa ngoja tuone kama itakuwa ni hizo criteria. Kama itakuwa ni hivyo basi angalau Simba wana matumaini japokuwa wanapaswa kuchanga vyema karata zaoAfrican sports journalist
NUHU ADAMS - Twitter, Facebook
Shida sio timu atakazopangiwa. Shida ni Simba mwenyewe.Yaah coz hizo timu za kwenye pot atakayopangiwa ni za kawaida sana
Wataliwa kichwa soon na pesa watazirudisha tu...Nilimsikia mzee wa kudere leo, kwamba kuna watu walipewa kazi ya kumaliza Game nje ya uwanja ila wakadharau
Simba wanatakiwa waachane na Morisson wamsajili Okwi au Rainford Kalaba.Pia yule Morrison inabidi aache masihara, asijikute yy ndo anajua sana
Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kupangwa na GormahiaHao waliopangwa na simba wote wanalogeka mamaeeee
Hao wakenya watajuta kuja taifa mbona watalogwa mpaka wachezaji wao majeruhiKuna uwezekano mkubwa sana Simba kupangwa na Gormahia
Ila inatengeneza nafasi za kufunga nyingi kuliko timu yoyote hapa TzSimba wanatakiwa waachane na Morisson wamsajili Okwi au Rainford Kalaba.
Kalaba ana 33 years
Okwi ana 30 years with their experience kwenye midfield kutafanya timu itembee tena sasa hivi timu haitembei.
Ni ngumu kuelewa nilichoandika kwa sababu umejibu kishabiki tuIla inatengeneza nafasi za kufunga nyingi kuliko timu yoyote hapa Tz
Uchambuzi mwingine ni kuchekeshana tu humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo timu ikishinda mechi za mtoano mtakuja hapa kusema Simba ni timu kubwa yaani kuwaelewa wabongo ni mtihani mno
Kweli MkuuIla inatengeneza nafasi za kufunga nyingi kuliko timu yoyote hapa Tz
Uchambuzi mwingine ni kuchekeshana tu humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo timu ikishinda mechi za mtoano mtakuja hapa kusema Simba ni timu kubwa yaani kuwaelewa wabongo ni mtihani mno
Uto katika ufinyu wa mawazo!Kama kuwafunga jwaneng galaxy timu mbov kuwah kuiona ikiqualify cl group stage ni tabùu...hayo mengine hayawesekan