CAF Confederation cup play-off round POTS

Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26

View attachment 1986479View attachment 1986476
CAF Confederation Cup Play-off round POTS

Draw Procedure

POT 1 vs. POT 2

POT 4 vs. POT 3

POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League

POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup

POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League

POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup

Simba SC ambayo ni timu pekee kwa Tanzania kusalia ktk michuano ya Afrika wana nafasi kubwa ya kupita ktk round hii na kwenda hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali au hata fainali kabisa na kuchukua kombe la shirikisho barani Afrika

Kila lenye kheri Simba SC
Kama kuwafunga jwaneng galaxy timu mbov kuwah kuiona ikiqualify cl group stage ni tabùu...hayo mengine hayawesekan
 
African sports journalist
NUHU ADAMS - Twitter, Facebook
Sawa ngoja tuone kama itakuwa ni hizo criteria. Kama itakuwa ni hivyo basi angalau Simba wana matumaini japokuwa wanapaswa kuchanga vyema karata zao
 
Uhakika mkuu, lazima wacheze kwa uzoefu mkubwa walionao
 
Pia yule Morrison inabidi aache masihara, asijikute yy ndo anajua sana
Simba wanatakiwa waachane na Morisson wamsajili Okwi au Rainford Kalaba.

Kalaba ana 33 years
Okwi ana 30 years with their experience kwenye midfield kutafanya timu itembee tena sasa hivi timu haitembei.
 
Ila inatengeneza nafasi za kufunga nyingi kuliko timu yoyote hapa Tz

Uchambuzi mwingine ni kuchekeshana tu humu [emoji23][emoji23][emoji23]

Leo timu ikishinda mechi za mtoano mtakuja hapa kusema Simba ni timu kubwa yaani kuwaelewa wabongo ni mtihani mno
 
Ni ngumu kuelewa nilichoandika kwa sababu umejibu kishabiki tu
 
Ila inatengeneza nafasi za kufunga nyingi kuliko timu yoyote hapa Tz

Uchambuzi mwingine ni kuchekeshana tu humu [emoji23][emoji23][emoji23]

Leo timu ikishinda mechi za mtoano mtakuja hapa kusema Simba ni timu kubwa yaani kuwaelewa wabongo ni mtihani mno
Kweli Mkuu
 
Back
Top Bottom