SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwa hiyo kumbe siyo kosa wachezaji wenu wawavimbie kuhusu maslahi?Ku add value sio lazima uuzwe mfano Bacca wa sasa ni tofauti na yule wa before CAF same to Job, Mwamnyeto,Diara list goes on, leo hii wana uwezo wa kuivimbia timu yao kuhusu masirahi tumia akili mdogo wangu
Hivi unajua timu inaweza kuja kumtaka mchezaji ikamuoffer maslahi mazuri kuliko wewe unayompa ila bado ukaweka ngumu kisa hautaki tu kumuachia? Matokeo yake mchezaji wa 250M unasema bila 1B hatoki na kwa kuwa bado ana mkataka kweli hatoki.