Kwa hiyo kumbe siyo kosa wachezaji wenu wawavimbie kuhusu maslahi?Ku add value sio lazima uuzwe mfano Bacca wa sasa ni tofauti na yule wa before CAF same to Job, Mwamnyeto,Diara list goes on, leo hii wana uwezo wa kuivimbia timu yao kuhusu masirahi tumia akili mdogo wangu
π π π π Acha hizoUnacheza na washuka daraja unashindwaje kung'aa?
Kwahiy unataka baada ya fainali mchezaj aanze kuondoka mmoja mmoja alafu yanga tuanze kusajir wachezaji wapya??Mlikuwa mnamsisitizia Feisal arudi kucheza mkadai ataonekana zaidi. Niliwahi kusema ngoja tuone hao waliobaki kama watauzika nikaonekana mbaya. Matokeo yake Feisal hakurudi ila ndiyo ameuzika, hawa waliofika fainali ni kama tutaendelea kuwa nao....sijui shida nini.
Napendaga tu kuwakumbusha kauli zenu maana nyingi huwa mnazisema kwa mihemko.
una maanisha nini kusema wachezaji wetu? mimi sina mchezaji , unacho kisema ndio hicho hicho nlichosema hapo juu mbona una kichwa kigumuKwa hiyo kumbe siyo kosa wachezaji wenu wawavimbie kuhusu maslahi?
Hivi unajua timu inaweza kuja kumtaka mchezaji ikamuoffer maslahi mazuri kuliko wewe unayompa ila bado ukaweka ngumu kisa hautaki tu kumuachia? Matokeo yake mchezaji wa 250M unasema bila 1B hatoki na kwa kuwa bado ana mkataka kweli hatoki.
Wewe jamaa kuwa wakati huwa unakuwa mjinga sana. Kwenye uzi wa kuwa na wachezaji wakristu ili kuwafunga waarabu nilidhani umepitiwa, kumbe ndio asili yako. Feisal siyo mchezaji mkubwa kihivyo, mbona hata bila kuwepo timu imefanya vizuri kwa kufika final?. Pia kuuza wachezaji tunakosemea siyo kwenda Azam bali club za Afrika. Kutoka Yanga kwenda Azam ni sawa na kuuza gari na kununua baiskeli.Mlikuwa mnamsisitizia Feisal arudi kucheza mkadai ataonekana zaidi. Niliwahi kusema ngoja tuone hao waliobaki kama watauzika nikaonekana mbaya. Matokeo yake Feisal hakurudi ila ndiyo ameuzika, hawa waliofika fainali ni kama tutaendelea kuwa nao....sijui shida nini.
Napendaga tu kuwakumbusha kauli zenu maana nyingi huwa mnazisema kwa mihemko.
Polisi walicheza vizuri kuliko RiversKama Police Tanzania
Ondoka kwenye App kwenda kwenye WebTimu imefika fainali ila inashindwa kuuza mchezaji wake hata mmoja. Haya mashindano haya....nimeshangaa kusikia hata mfungaji bora hapewi chochote, inabaki tu google.
Wewe ni taahira tena taahira mwenye vyetiTimu imefika fainali ila inashindwa kuuza mchezaji wake hata mmoja. Haya mashindano haya....nimeshangaa kusikia hata mfungaji bora hapewi chochote, inabaki tu google.
Hivi wewe uko sawa kichwani kweli?Mpira biashara bloo, au na wewe Feisal haumjui? Kesho msije mkasema na Mayele hamumjui.
View attachment 2650294
π π π πStay away from negativity unaweza dhani ni utani kumbe ndio roho mbaya inakuuingia hivyo
Labda moyo wako...Hakika Yanga wameliheshimisha Taifa. Wamekosa kombe, lakini watabakia daima kuwa mabingwa ndani ya mioyo yetu.
me timu yangu ni Real Madrid huku hua napita kama Mpoto peku peku[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nimecheka sana..Yanga bana
Mtani, utambue kwamba klabu ya Yanga imeikosha mioyo yetu na pia kukata kabisa kiu ya Watanzania walio wengi! Yaani ukiwemo wewe.Labda moyo wako...