mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Nimeifuma mahala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wapo wanaoamini timu imebebwaAlafu bado mpaka sasa serikali ipo kimya kabisa,wakati wanaona kabisa Simba inavyopambania nchi kisoka na kuongeza watalii nchini"Visit Tanzania"
Ukishakuwa shabiki wa utopolo lazima ubongo uhamie kwenye makalio kutoka kwenye fuvu la kichwa.Bado wapo wanaoamini timu imebebwa
Mbaya zaidi hata aliyetutangazia kuwa uto ni majuha kasoro wawili naye pia kawa Juha.Ukishakuwa shabiki wa utopolo lazima ubongo uhamie kwenye makalio kutoka kwenye fuvu la kichwa.
Alafu bado mpaka sasa serikali ipo kimya kabisa,wakati wanaona kabisa Simba inavyopambania nchi kisoka na kuongeza watalii nchini"Visit Tanzania"
Hawa CAF ni wa mchongo. Inakuwaje Simba iliyoshinda kwa goli moja tu uwanja wa nyumbani iingize wachezaji watano. Hii itakuwa CUF ya Lipumba.
Alisikika Juha mmoja akisema tokea dimbwini.🤣🤣🤣
Hata mimi nimewaza hivyo hivyo.Kwa maoni yangu binafsi, bila mihemko ya kishabiki(Simba damu) wala kushawishiwa na mtu, naona kati ya Manula na kipa wa Pirates, kipa wa Pirates ALIUDAKA 'MWINGI' kuliko Manula!
Nimekuelewa sana mchambuzi wa soccerUjue kuwa kati ya timu NANE zilizocheza robo fainali ya kwanza, ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi nazo ni Simba na Al Masry!
Timu NNE ziliambulia sare ya kutokufungana na timu MBILI zilifungwa!
Kati ya timu mbili zilizoshinda mechi ya kwanza ya robo fainali ni timu MOJA tu ya SIMBA haikuruhusu mpinzani kupata goli la ugenini. Al Masry alishinda 2:1 hivyo aliruhusu goli la ugenini.
Kwa hiyo kati ya timu zote NANE, kwa mujibu wa mechi za kwanza, SIMBA ndiyo timu Bora na ilistahili kuingiza wachezaji wengi kwenye timu ya wiki ya CAF! Bila shaka nimeeleweka!
Na tukifika nusu finally na finally lazima watamwita kombe la duniamorrison kapata kigezo kingine cha kuwa nanga shirikisho la mpira ghana
Sasa mwenzake ana cleansheet tayari na huyo unayemtaka wewe kachafua gazetiKwa maoni yangu binafsi, bila mihemko ya kishabiki(Simba damu) wala kushawishiwa na mtu, naona kati ya Manula na kipa wa Pirates, kipa wa Pirates ALIUDAKA 'MWINGI' kuliko Manula!
Hicho ni kikosi cha CAF kwa vigezo vya kiwango walichoonyesha wachezaji. Kiwango cha Inonga hata Sakho vimezidiwa na hao waliopo kwenye kikosi