Caf confederation cup team of week

Caf confederation cup team of week

Hiyo ya kwako ya mchongo

Screenshot_20220419-062352_Opera.jpg
 
Kwa maoni yangu binafsi, bila mihemko ya kishabiki(Simba damu) wala kushawishiwa na mtu, naona kati ya Manula na kipa wa Pirates, kipa wa Pirates ALIUDAKA 'MWINGI' kuliko Manula!
Alidaka kwa sababu walizidiwa
 
Kwa maoni yangu binafsi, bila mihemko ya kishabiki(Simba damu) wala kushawishiwa na mtu, naona kati ya Manula na kipa wa Pirates, kipa wa Pirates ALIUDAKA 'MWINGI' kuliko Manula!
Kwa sababu alipelekewa moto mwingi.Kisa cha mtoto wa kiingereza kuongea kiingereza sana.
 
Ulivyo mbwiga umeshindwa kujua kama hicho ulicholeta wewe ni kikosi cha mashandano ya CAFCL(club bingwa), tofauti na alichopo Simba Sc CAFCC (shirikisho).

Chuki zimekufanya ukurupuke hovyo, mna ujinga mwingi sana uto.
Hiko kikosi CAF confederation cup kimepostiwa official page ya CAF? Kutokuwepo kwa Inonga na Tshabalala kuna nipa mashaka maana kwangu naona Inonga ndiye aliye clear makosa mengi ya wenzie pale nyuma. Tshabalala kawasumbua sawa Pirates ana utulivu mkubwa mno.
 
Yaaaan wamemwacha inonga wakamchukuwaaa wawaaaaa 🤔🤔🤔
Kuingia kwenye kikosi Cha wiki kinachotumika ni kigezo Cha takwimu za mtu binafsi kwenye mechi. Kwa kutumia vigezo vilivyokubalika Kila mchezaji hujipatia points kadhaa. Wawa ni kati ya wachezaji waliopata pointi nyingi (7.7)!! Hapo hisia za mtu binafsi hazina nafasi!
 
Back
Top Bottom