Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
ila karuhusu goliKwa maoni yangu binafsi, bila mihemko ya kishabiki(Simba damu) wala kushawishiwa na mtu, naona kati ya Manula na kipa wa Pirates, kipa wa Pirates ALIUDAKA 'MWINGI' kuliko Manula!
Yaaaan wamemwacha inonga wakamchukuwaaa wawaaaaa 🤔🤔🤔
Wawa rate yake ni kubwa hasa passing accurate yake na hata tackling Jana Wawa amefanya nyingi kuliko InongaYaaaan wamemwacha inonga wakamchukuwaaa wawaaaaa 🤔🤔🤔
Hiyo ya kwako ya mchongo
Umeifuma kwenye magroup ya makolo
Sisi tunaongelea confederation wewe unaongelea champion league?
Sisi tunaongelea confederation wewe unaongelea champion league?
Hii Mbuzi Hata Tofauti Kati Ya Klabu Bingwa Na shirikisho Haijui.
Ww ndio umeingia chaka sasa hii ni ya champions leage... kwan simba ipo champions leage... kumbe hujui hata unachosoma wala unachoandika hapa... kawaida ya uto.. mihemko tu
Alidaka kwa sababu walizidiwaKwa maoni yangu binafsi, bila mihemko ya kishabiki(Simba damu) wala kushawishiwa na mtu, naona kati ya Manula na kipa wa Pirates, kipa wa Pirates ALIUDAKA 'MWINGI' kuliko Manula!
Kwa sababu alipelekewa moto mwingi.Kisa cha mtoto wa kiingereza kuongea kiingereza sana.Kwa maoni yangu binafsi, bila mihemko ya kishabiki(Simba damu) wala kushawishiwa na mtu, naona kati ya Manula na kipa wa Pirates, kipa wa Pirates ALIUDAKA 'MWINGI' kuliko Manula!
Hiko kikosi kimepostiwa na page rasmi ya CAF?Hii Mbuzi Hata Tofauti Kati Ya Klabu Na shirikisho Haijui.
Ulivyo mbwiga umeshindwa kujua kama hicho ulicholeta wewe ni kikosi cha mashandano ya CAFCL(club bingwa), tofauti na alichopo Simba Sc CAFCC (shirikisho).
Hiko kikosi CAF confederation cup kimepostiwa official page ya CAF? Kutokuwepo kwa Inonga na Tshabalala kuna nipa mashaka maana kwangu naona Inonga ndiye aliye clear makosa mengi ya wenzie pale nyuma. Tshabalala kawasumbua sawa Pirates ana utulivu mkubwa mno.Ulivyo mbwiga umeshindwa kujua kama hicho ulicholeta wewe ni kikosi cha mashandano ya CAFCL(club bingwa), tofauti na alichopo Simba Sc CAFCC (shirikisho).
Chuki zimekufanya ukurupuke hovyo, mna ujinga mwingi sana uto.
Hiiii mbona hiyo ni Championship
Manara anasemaje juu ya hili, walio karibu naye wamuangalia asije kujipiga vidole kwa hasira.
Kuingia kwenye kikosi Cha wiki kinachotumika ni kigezo Cha takwimu za mtu binafsi kwenye mechi. Kwa kutumia vigezo vilivyokubalika Kila mchezaji hujipatia points kadhaa. Wawa ni kati ya wachezaji waliopata pointi nyingi (7.7)!! Hapo hisia za mtu binafsi hazina nafasi!Yaaaan wamemwacha inonga wakamchukuwaaa wawaaaaa 🤔🤔🤔