CAF Goal of the Year; mpigie kura Pape Sakho

Hilo goli likishinda najitoa JF kwa mwezi mmoja
 
Goli la mayele lipo kwenye tuzo ya cuf ya lipumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Ngoja kwanza tujadiliane kwenye kikao tuone kwanini goli la mtetemaji wetu halimo kwenye hiyo orodha. Ikishindikana tutakata rufaa CAS.
 
Ina maana hakuna mwarabu mwenye goli zuri hata mmoja! Haiwezekani, weka yote tuangalie lipi linamzidi mwenzie
 
Yanga msisahau kumpigia kura feisal Goal la CCM kirumba.
 
Pape ameingia kwenye list ya tatu bora, kura zetu zimejibu - Halafu kumbe unaweza kupiga kura mara nyingi na inakubali, nimejaribu juzi, jana na leo zimetiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…