Mazingira ya Africa ndio yanasababisha waweke hivyo... Uliweka fainali moja Neutral venue, hautapata hata mashabiki... Hakutakuwa na usawa kabisa... Miundombinu na Usafiri kwa mashabiki kuhudhuria fainali tatizo pia... Mfano watanzania wangapi wanaweza kusafiri kwenda Morocco kusapoti timu?? Tusilinganishe Africa na Ulaya.