Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
alishinda 2Hapo kwa El merrik sijaelewa kabxa...kwamba ugeni alishnda moja au mbil?
Ugenini alshinda 2Hapo kwa El merrik sijaelewa kabxa...kwamba ugeni alishnda moja au mbil?
Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇View attachment 2388373View attachment 2388375
View attachment 2388387
Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
Kuna ubaya gani kwa Atletico kufika fainali mbili kama alicheza michezo yake kwa mujibu wa kanuni zilizopo wakati huko ?Nikikumbuka uefa timu zilivokuwa zinatolewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii sheria ilisababisha atletico Madrid kufika final mbili za uefa
Kabisa, naona milio imeanza.Hapa kuna jitu linaenda kufa
😠
Turudi kwenye mada yako, ni yapi manufaa ya "kufuta goli la ugenini" ?Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇View attachment 2388373View attachment 2388375
View attachment 2388387
Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
Unajua sababu iliyopelekea uefa kufuta goli la ugenini?Wazungu wana msemo wao;
If you are going to play the game, You have to learn how to play it right.
Yaani kwa kifupi ni kwamba CHEZA MCHEZO KWA KANUNI ZILIZOPO. (Uelewe mchezo).
Timu nzuri zinatumia kanuni zilizopo kujinufaisha, wasio wazuri wanatumia muda wao kuzilalamikia kanuni.
Utopolo kutolewaTurudi kwenye mada yako, ni yapi manufaa ya "kufuta goli la ugenini" ?
Au ni hasara zipi zinaletwa na kuendelea kuwa na "goli la ugenini" ?
Sasa mbona goli anatunzwa aliyekuwa mgeni?Waafrika tuna utamsemo wetu kwamba mcheza kwao hutuzwa
Uliowataja kama walikua wanashindwa kunufaika na kanuni zilizokuwepo kwa wakati huo, basi hawakua wazuri.Unajua sababu iliyopelekea uefa kufuta goli la ugenini?
Madrid, Barcelona,man u etc..hao walikuwa sio wazuri wanalalamika?