CAF inashindwa nini kufuta goli la ugenini?

CAF inashindwa nini kufuta goli la ugenini?

Hapo kwa El merrik sijaelewa kabxa...kwamba ugeni alishnda moja au mbil?
Al merreikh mechi ya Kwanza akiwa kwao Sudan alishinda gori 2-0, Jana akiwa ugenini amefungwa 3-1 kwahyo agg ni 3-3 Ila ana faida ya gori la ugenini
 
Miundo mbinu yetu bado hairuhusu kufanya hvyo mfano angalia kama zalan walikuja na pick up na walitumia siku 3 njiani kwa hyo goli la ugenini bado lina maana kwa Africa wazungu wao team zao nyingi zinajiweza tofauti na za kwetu Africa Caf wapo sawa
 
Binafsi naunga mkono sheria hii kwa sababu ya changamoto zetu za usafiri na figisu za ugenini. Ulaya ni tofauti sana
 
Back
Top Bottom