O Outcrop Rock JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 275 Reaction score 398 Oct 16, 2022 #21 Catel said: Hapo kwa El merrik sijaelewa kabxa...kwamba ugeni alishnda moja au mbil? Click to expand... Al merreikh mechi ya Kwanza akiwa kwao Sudan alishinda gori 2-0, Jana akiwa ugenini amefungwa 3-1 kwahyo agg ni 3-3 Ila ana faida ya gori la ugenini
Catel said: Hapo kwa El merrik sijaelewa kabxa...kwamba ugeni alishnda moja au mbil? Click to expand... Al merreikh mechi ya Kwanza akiwa kwao Sudan alishinda gori 2-0, Jana akiwa ugenini amefungwa 3-1 kwahyo agg ni 3-3 Ila ana faida ya gori la ugenini
Vawulence JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 1,930 Reaction score 2,118 Oct 16, 2022 #22 Msweden said: Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇View attachment 2388373View attachment 2388375 View attachment 2388387 Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote. Click to expand... Subiri utopolo watolewe ndio tuongee na Barbara apeleke maoni hayo CAF
Msweden said: Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇View attachment 2388373View attachment 2388375 View attachment 2388387 Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote. Click to expand... Subiri utopolo watolewe ndio tuongee na Barbara apeleke maoni hayo CAF
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Oct 16, 2022 #23 Miundo mbinu yetu bado hairuhusu kufanya hvyo mfano angalia kama zalan walikuja na pick up na walitumia siku 3 njiani kwa hyo goli la ugenini bado lina maana kwa Africa wazungu wao team zao nyingi zinajiweza tofauti na za kwetu Africa Caf wapo sawa
Miundo mbinu yetu bado hairuhusu kufanya hvyo mfano angalia kama zalan walikuja na pick up na walitumia siku 3 njiani kwa hyo goli la ugenini bado lina maana kwa Africa wazungu wao team zao nyingi zinajiweza tofauti na za kwetu Africa Caf wapo sawa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 16, 2022 #24 Ngoja tuone...
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Oct 16, 2022 #25 Relax mkuu, saa 3 sio mbali
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Oct 16, 2022 #26 Binafsi naunga mkono sheria hii kwa sababu ya changamoto zetu za usafiri na figisu za ugenini. Ulaya ni tofauti sana
Binafsi naunga mkono sheria hii kwa sababu ya changamoto zetu za usafiri na figisu za ugenini. Ulaya ni tofauti sana