ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio ni Mafanikio ya Timu na Kwa Tanzania ziko 2Hivi wanatumia vigezo gani kujua na kutunuku ubora wa ligi husika?
Ni mafanikio ya Timu moja kwenye michuano ya kimataifa ndio yanayopandisha thamani ya ligi?? Hata kama ligi ni mbovu??
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Wanaangalia hizo point kutokana na mafanikio ya klabu kimataifa.Hivi wanatumia vigezo gani kujua na kutunuku ubora wa ligi husika?
Ni mafanikio ya Timu moja kwenye michuano ya kimataifa ndio yanayopandisha thamani ya ligi?? Hata kama ligi ni mbovu??
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Sasa si ndiyo overall ranking za huo msimu wa 2022/2023?mkuu hiyo ni ya msimu huu tu, sio overall ranking
Hiyo rank kikawaida hua inajumlisha ya misimu mitano au sita, hicho ndio huwa kipimo sahihi cha ubora wa ligi. Fungua kwenye page zao husika utaliona hilo.Sasa si ndiyo overall ranking za huo msimu wa 2022/2023?
Au wewe unaposikia overall ranking huwa unapata picha gani? Kwamba ni bila mwanzo wala ukomo?
Miaka mitano si ni majumuisho? Kuna ubaya kukiwepo na continuum of assessment ambayo inatupa status on annual bases?hiyo rank kikawaida hua inajumlisha ya misimu mitano au sita, hicho ndio huwa kipimo sahihi cha ubora wa ligi. Fungua kwenye page zao husika utaliona hilo.
Lazim
Miaka mitano si ni majumuisho? Kuna ubaya kukuwepo na continous assessment ambayo ni annually based?
Kila mwaka kuna wadau wanataka kufanya kitu/kuwekeza kwenye hizo ligi, hivyo ni muhimu kuwepo na data and status kila baada ya muda fulani mfupi ili zisaidia kwenye kufanya maamuzi.
Hivyo kutoa takwimu za ubora wa Ligi kwa mwaka inatoa nafasi ya wadau kujua ligi gani wanaweza wakafanya kitu.
Msimu ni muda gani?hoja ni kuwa kipimo cha ubora wa ligi hakipimwi kwa msimu mmoja.
Labda muuliza swali anafikiri overall ranking ina dumu miaka yote..yani misimu yote.Sasa si ndiyo overall ranking za huo msimu wa 2022/2023?
Au wewe unaposikia overall ranking huwa unapata picha gani? Kwamba ni bila mwanzo wala ukomo?
Kazi ilifanywa na Simba Yanga mlikuwa tuu kuongeza. Mpaka Sasa mna point 20 Simba 35.Hii ndio kazi nzuri ya Yanga Sasa
---
The Algerian #Ligue1DZ officially finishes the 2022-23 season as the best league in Africa based on the CAF rankings
1. Algeria 55 points
2. Morocco 50 points*
3. Egypt 47.5 points*
4. South Africa 35 points
5. Tanzania 35 points
Leta ushahidi na kama ni hivyo Kwa nini kwenye ranking Yanga iwe Juu ya Simba?Kazi ilifanywa na Simba Yanga mlikuwa tuu kuongeza. Mpaka Sasa mna point 20 Simba 35.
Ipongeze Simba.
Unazungumzia ranking ipi ndg? Ilete hapa tafadhaliLeta ushahidi na kama ni hivyo Kwa nini kwenye ranking Yanga iwe Juu ya Simba?
We kweli bure kabisa, hata idara zingine za kimataifa hupima ubora wa Watendaji wake kwa kila baada ya miezi 6 au miezi 12 (short time assessment) ambapo hupelekea kutathmini mafanikio baada ya miaka mitano au kumi (long time assessment).hoja ni kuwa kipimo cha ubora wa ligi hakipimwi kwa msimu mmoja.
Makolokolo sijui yanawazaga kwa kutumia nini miilini mwao, yani anapingana na data halisi kwa waliobobea kiuchambuzi na kutaka kuaminisha kuwa ubora wa Makolokolo wa miaka mitano uliopita basi utaendelea kuwa permanent papo hapo miaka yote ilihali kila kukicha ushindani hutokea wa kiuwekezaji na mafanikio mengi toka klabu tofauti tofauti.Leta ushahidi na kama ni hivyo Kwa nini kwenye ranking Yanga iwe Juu ya Simba?