CAF, Ligi Kuu NBC ni ya 4 kwa ubora Barani Africa sawa na Ligi Kuu ya Africa Kusini

CAF, Ligi Kuu NBC ni ya 4 kwa ubora Barani Africa sawa na Ligi Kuu ya Africa Kusini

We kweli bure kabisa, hata idara zingine za kimataifa hupima ubora wa Watendaji wake kwa kila baada ya miezi 6 au miezi 12 (short time assessment) ambapo hupelekea kutathmini mafanikio baada ya miaka mitano au kumi (long time assessment).

Inamaana ikiwa kampuni X ilifanya vyema kiuwekezaji mwaka huu afu pakavutia wadau wengine kuwekeza kwa mwaka ujao, itawalazimu wasubirie hadi miaka mitatu au mitano?

Je mwaka ujao pakiwa na Washindani zaidi ya kampuni X wakafanya vizuri zaidi itawalazimu waendelee tu kusubiri hiyo miaka mitatu itimie?

Elewa investment ni upside and downside achievement tokana na challenges tofauti tofauti si kila siku tu ni permanent achievement results.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Povu lanini mkuu? hata hao CAF wanatumia rang ya miaka mitano katika kupima ubora. Sasa unanitolea povu mimi ili iweje?
 
Msimu huu yanga kakusanya point 20, Simba kakusanya 15 Jumla point 35. Sa ukisema Simba ndo kakusanya point nyingi nakushangaa!!!
Acha uongo point 20 atoe wapi wakati ranking kwa msimu mmoja ni 1 mpaka 6?
IMG_7988.png
 
Msimu huu kaokota point 4 tu yanga na simba 3, hivyo kwa misimu mitano yanga ana point 20 na simba point 35, ndo hiyo ranking inapokuja sasa 55points
We jamaa yaani uchukue 4x5 upate 20 lakini 3x5 upate 35 na siyo 15? Kama na hili unabisha basi tuna safari ndefu kama taifa
 
We jamaa yaani uchukue 4x5 upate 20 lakini 3x5 upate 35 na siyo 15? Kama na hili unabisha basi tuna safari ndefu kama taifa
hivi unajua hata mahesabu ya hiyo ranking yanafanywaje? haya soma kwenye ranking picha hio hapo

Screenshot 2023-06-05 195845.png
 
overall rank inakuwa ni ya misimu mitano ndugu. kwa maana Last 5 seasons
hapana mkuu...

overall ranking hii ni ya kuanzia mashindano ya CAF kuanzishwa,..... ni point ambazo timu ime-accumlate tokea ianze kushiriki mashindano ya CAF

kuna 5 yr ranking, ndio hii hutumika kupanga makundi kwenye mashindano ya CAF......

hii 5yr ranking ndio ukiangalia leo utaona simba ana point 35 na yanga ana 20... simba amekusanya hizo 35 kwa misimu 4 aliyoshiriki (kuna mwaka hakwenda makundi in the last 5yrs), na Yanga kazikusanya 20 mwaka huu pekee (4x5)....
 
hicho ndicho nilichokiksudia mkuu.
 
Sio kila siku kubishabishana tu.Usimba na uyanga utawajengea uadui.
 
Hivi wanatumia vigezo gani kujua na kutunuku ubora wa ligi husika?

Ni mafanikio ya Timu moja kwenye michuano ya kimataifa ndio yanayopandisha thamani ya ligi?? Hata kama ligi ni mbovu?

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Algeria Timu 3 zimefika hatua kubwa Moja imechukua ubingwa
1.USMA
2.CR belouzdad
3. Js kabilye kama sijakosea haya ni maoni yangu.
 
Back
Top Bottom