We kweli bure kabisa, hata idara zingine za kimataifa hupima ubora wa Watendaji wake kwa kila baada ya miezi 6 au miezi 12 (short time assessment) ambapo hupelekea kutathmini mafanikio baada ya miaka mitano au kumi (long time assessment).
Inamaana ikiwa kampuni X ilifanya vyema kiuwekezaji mwaka huu afu pakavutia wadau wengine kuwekeza kwa mwaka ujao, itawalazimu wasubirie hadi miaka mitatu au mitano?
Je mwaka ujao pakiwa na Washindani zaidi ya kampuni X wakafanya vizuri zaidi itawalazimu waendelee tu kusubiri hiyo miaka mitatu itimie?
Elewa investment ni upside and downside achievement tokana na challenges tofauti tofauti si kila siku tu ni permanent achievement results.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Povu lanini mkuu? hata hao CAF wanatumia rang ya miaka mitano katika kupima ubora. Sasa unanitolea povu mimi ili iweje?